Ipe maneno picha yangu ya zamani

Sijui leo tena ni ugali daggg?!!!!!
ha ha ha ha ha!!nilikuwa nawaza kipondo nyumbani baada ya mbuzi kunitoroka na kuvamia mazao ya watu shambani!!!
 
halafu ukiniona nilivyo leo hata hiyo picha naweza kuikana kuwa siyo yangu!!!
 
Huyo mtoto anatia huruma wallah

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Reactions: BAK
Sio swala la nini hapo ni swala la umaskini
Alipaswa awe shule au alipaswa awe kwenye mazingira masafi ila maisha yamempiga chenga angali mdogo
Shule hataijua wala hatajua maji ya kuoga na kuwa msafi yatapatikana wapi
 
Nikiitazama hii picha napata mengi sana ya kuandika kuhusu huyo mtoto ila yote ni ya mashaka tu. I just hope amepata/atapata maisha mazuri ukubwani mwake.
 
Nikiitazama hii picha napata mengi sana ya kuandika kuhusu huyo mtoto ila yote ni ya mashaka tu. I just hope amepata/atapata maisha mazuri ukubwani mwake.
mwaJ future yake inaanzia hapa
hapo atakuwa anajiuliza maswali mengi sana na hajui mustakabali wa hayo ni upi wala hajui maisha yake yatakuwaje
yaani ungepata nafasi ya kujua anachowaza huyo mtoto ni balaa
 
Last edited by a moderator:
Dogo anawaza msala utaomkuta home baada ya kupoteza mbuzi machungani....
 
Dogo anawaza akirejea nyumbani atakavyokumbana na kichapo cha Mama wa kambo.

mwaJ future yake inaanzia hapa
hapo atakuwa anajiuliza maswali mengi sana na hajui mustakabali wa hayo ni upi wala hajui maisha yake yatakuwaje
yaani ungepata nafasi ya kujua anachowaza huyo mtoto ni balaa

Siku zote Mungu ni mwema sana Mr Rocky mtoto anaweza kukulia kwenye mazingira magumu haswa, lakini baada ya miaka kadhaaa ukaja kukuta ndiye mtu mwenye mafanikio makubwa kupita hata wale waliokuwa na maisha mazuri au ya ahueni.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…