Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Hahaha umenikumbusha mbali sana na Simu za Kuzungusha kisha unaomba uunganishwe na namba fulani!Kweli teknolojia inakimbia sana!"Haloo........opereta naomba ni unganishe na namba 6705....."
Ama kweli siku hazigandi.