Ipe Maneno Picha Yangu Ya Leo.....

Ipe Maneno Picha Yangu Ya Leo.....

Huyo paka kasha vimbewa hana hamu ya samaki -huoni alivyo nona
 
Paka wa kipare huyo.Anakula picha ya samaki lakini samaki wenyewe anawahifadhi kwa tabia ya ubanifu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom