Ipe maneno picha yangu ya leo

Tayar maneno yapo we jamaa kilaza nn?
 
Leo kidogo umeleta picha yenye ujumbe wa maana, si ule uongo wako wakujidai familia yako kumbe umeitoapicha kwenye mtandao.
 
Leo kidogo umeleta picha yenye ujumbe wa maana, si ule uongo wako wakujidai familia yako kumbe umeitoapicha kwenye mtandao.

Ujumbe wa maana wakati tunanyonywa ndani ya utawala wa ccm!! Ivi ni kweli ukiipenda ccm ni kama unaakili za maiti?
 
hakika ujumbe kwa mweledi utakuwa umemfikia,kwa mjinga atauliza ni nn?
 
Mafuta yaliyopo Africa juu,Libiya nawenzake tunayanyonya na karibu tutayamaliza kisha tutawashukia waliopo chini kama sudan kusini na aliopakana nao
 
Leo kidogo umeleta picha yenye ujumbe wa maana, si ule uongo wako wakujidai familia yako kumbe umeitoapicha kwenye mtandao.

Mh! Wewe mkali sana...ivi brother akikuzingua inakuaje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…