Ipe maneno picha yangu ya leo

Ipe maneno picha yangu ya leo

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,113
Reaction score
34,953
HATARI SANA.jpg
 
Ushamtoa roho mama yao mzazi, ila kwakua watoto ni wadogo kwa ufahamu wanajua amelala tu, wanasubiri mama aamke waende kutafuta chakula kisha wakapumzike... Kuna baadhi ya watu wapo tayari watoe na kuwapoteza watu wenye familia zao, kisa tu hawawaungi mkono. Mungu atuongoze.[emoji122][emoji1666]
20190910_101421.jpeg
 
Ushamtoa roho mama yao mzazi, ila kwakua watoto ni wadogo kwa ufahamu wanajua amelala tu, wanasubiri mama aamke wanede kutafuta chakula kisha wakapumzike... Kuna baadhi ya watu wapo tayari watoe na kuwapoteza watu wenye familia zao, kisa tu hawawaungi mkono. Mungu atuongoze.[emoji122][emoji1666]View attachment 1215796
inasikitisha sana daa
 
Nimejikuta najiuliza tu kwani ili sisi binadamu tuishi ni lazima tuwakule viumbe wenzetu? kama kuku, mbuzi and alike
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom