Ipe maneno picha hii

That is politiki, wafuasi wao wanauwana wao wanakunywa mvinyo.
 
Isijekuwa ni picha ya zamani, enzi hizo wakipatana. Lakini kama ni ya kipindi hiki cha mparaganyiko, basi kweli siasa MBAYA
 
Seif anamwambia hamad kuwa ktk hafla hii ya ikulu nani kakualika?
 
Wanasiasa hufanya mambo ambayo siyo hasa, ndiyo maana unaona wanasalimiana
 
Self akisalimiana na Hamad kwa tahadhari kubwa!
 
Siasa mchezo mchafu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…