M Mwizukulu wa Buganda JF-Expert Member Joined Nov 19, 2024 Posts 810 Reaction score 2,044 Sep 15, 2025 #1 ----- Mimi naanza Naitwa Mwizukulu wa Buganda, Natokea Mbarara Uganda, ni mfanyabiashara wa Kahawa na Sijaoa. Natoa milioni 50 kama mchango wa kanisa.
----- Mimi naanza Naitwa Mwizukulu wa Buganda, Natokea Mbarara Uganda, ni mfanyabiashara wa Kahawa na Sijaoa. Natoa milioni 50 kama mchango wa kanisa.
Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 6,359 Reaction score 11,342 Sep 15, 2025 #2 Wameachama kama vile ndo wanafikishwa kilimanjaro
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 57,782 Reaction score 165,419 Sep 15, 2025 #3 Picha ikiionyesha wadada wakiwa na mshangao wa jambo fulani
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 37,901 Reaction score 117,140 Sep 15, 2025 #4 Ni mshangao baada ya kuambiwa kua, "Nyie wote hakuna mwenye sifa ya kuajiriwa kwenye hii taasisi, Wote mmefeli kwenye interview!
Ni mshangao baada ya kuambiwa kua, "Nyie wote hakuna mwenye sifa ya kuajiriwa kwenye hii taasisi, Wote mmefeli kwenye interview!
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 57,782 Reaction score 165,419 Sep 15, 2025 #5 The Icebreaker said: Ni mshangao baada ya kuambiwa kua, "Nyie wote hakuna mwenye sifa ya kuajiriwa kwenye hii taasisi, Wote mmefeli kwenye interview! Click to expand... Halafu picha inaonyesha wadada wengi ila katika sura moja
The Icebreaker said: Ni mshangao baada ya kuambiwa kua, "Nyie wote hakuna mwenye sifa ya kuajiriwa kwenye hii taasisi, Wote mmefeli kwenye interview! Click to expand... Halafu picha inaonyesha wadada wengi ila katika sura moja
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 37,901 Reaction score 117,140 Sep 15, 2025 #6 min -me said: Halafu picha inaonyesha wadada wengi ila katika sura moja Click to expand... Picha za AI hizo bwashee.
min -me said: Halafu picha inaonyesha wadada wengi ila katika sura moja Click to expand... Picha za AI hizo bwashee.
Pyaar JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 17,213 Reaction score 80,137 Sep 15, 2025 #7 “Nasikitika kuwatangazia kuwa signatory wa kikundi chenu amepata ajali akiwa njiani kuja. Hivyo zoezi la pesa kwa leo limeahirishwa.”
“Nasikitika kuwatangazia kuwa signatory wa kikundi chenu amepata ajali akiwa njiani kuja. Hivyo zoezi la pesa kwa leo limeahirishwa.”
GwaB JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 5,138 Reaction score 6,899 Sep 15, 2025 #8 Sura ya msichana mmoja wa kiganda au kihaya imevishwa kwenye viwiliwili vya wasichana wengine tofauti.
Sura ya msichana mmoja wa kiganda au kihaya imevishwa kwenye viwiliwili vya wasichana wengine tofauti.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,577 Reaction score 193,558 Nov 9, 2025 #9 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw