Mwanamke Nguo nyekundu; Mwamba muamala umesoma, Gia angani 2015 imelipa in 2025!
“Kaka” Freeman; (tabasamu la kukata na shoka)…niliwaambia lazima jamaa watume, hatimaye “long walk to freedom” imelipa! 😊
Mwanamke Miwani nyeusi; Mwamba umecheza sana this time kikosi cha ulinzi, kwenye nyayo za Gaddafi.