Ipe Maneno Picha Hii

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
:-*:censored:
 
Attachments

  • jambo afande.jpg
    jambo afande.jpg
    19.9 KB · Views: 212
Hahahha Jakaya analazimisha salamu kwa huyo mama :suspicious::suspicious:

Hivi ukipigiwa saluti si unataki ujibu kisalut au?? ni ruhusa kutoa mkono???
 
Hahahha Jakaya analazimisha salamu kwa huyo mama :suspicious::suspicious:

Hivi ukipigiwa saluti si unataki ujibu kisalut au?? ni ruhusa kutoa mkono???
Mrembo,
Unaitaji miwani au time ya kubadilisha miwani yako?
 
JK yupo sahihi. Maafande hupiga salute kwa mkuu kabla hawajaendelea na salamu ya kawaiada, na kwa vile JK yupo pale kama Kama Raisi hawezi jibu kiafande, hivyo anavyofanya ni sahihi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom