Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Embu tazama picha hii kwa makini kabisa halafu uniambie umeona nini.
no, wameunganisha picha mbili, ila yachini ni nzur zaidi
inamaana we huoni au,
mtoto amemkalia mamaake mgongoni.
mtoto amemkalia mamaake mgongoni.
Picha hiyo ni Mtoto akiwa uchi amekaa Mgongon mwa mwanamke alievaa nusu uchi au nguo ya ufukweni......!! Je nimepata..??
mtoto amemkalia mamaake mgongoni.
Picha hiyo ni Mtoto akiwa uchi amekaa Mgongon mwa mwanamke alievaa nusu uchi au nguo ya ufukweni......!! Je nimepata..??