Ipe maneno hii Picha!

Ipe maneno hii Picha!

sekulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
988
Reaction score
158
Huyo ni Daimond na Wema mwana wa Sepetu
 

Attachments

  • diamond.jpg
    diamond.jpg
    16 KB · Views: 125
Mbona Kama Diamond analzazimisha kitu??, Umeona sura ya Sepetu ilivokosa amani na pia Diamond alivotoa mishipa mikononi??

Ni kama Kasepetu kalikuwa Mbwii alafu Diamond anamwambia Sogea huku!
LOL
 
Ngoja pochi liiishe, ashuhudie viduko vikianza, yaaani atajuta kupoteza muda na hilo jamvi!!
 
Hongera dada, naona unaendelea kusanya. Akifulia unasepa, kama kawaida!!
 
Back
Top Bottom