Ipe maneno hii picha yangu

Ipe maneno hii picha yangu

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
1013261_1402902129963164_619570987_n.jpg
 
Asije kuwa yuko kwa chini hapo anawajibika kwa........!!!manake siku hizi ni Popote kambi tu.
 
Hii itakuwa ni Housegirl kampumzisha dogo wakati akipiga picha kwa wale MOBILE PHOTOGRAPHERS wazunguka na baiskeli🙂
 
mtoto kafungwa hivyo ili mama apate cha kupost facebook ili apate likes nyingi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom