Hayo ndio matumain mkuu, pale ambapo akili za kawaida hazioni huwezekano lakin unatumai yataenda tu, nadhani ndo maana ya hiii picha
tizama vyema hiyo kambabu utaona kuna mahalq inakaribia kukatika.
ie mbele kuna bonge ya mweleka