RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 201 Feb 18, 2011 #21 shosti said: hahahaha wanajinyanyasa wenyewe,mpaka viatu unasubiri ununuliwe! Click to expand... Taratibu aisee ni mchelle obama huyo ohoo
shosti said: hahahaha wanajinyanyasa wenyewe,mpaka viatu unasubiri ununuliwe! Click to expand... Taratibu aisee ni mchelle obama huyo ohoo
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,379 Feb 18, 2011 #22 Deodat said: Wanawake wamekuwa watu wa kunyanyaswa tangu enzi za kale, hii sijui ndio harusi, bwana kavaa viatu bibie anatwanga na kupepeta pekupeku! Click to expand... jamani kavua mchuchumio ili aselebuke vizuri
Deodat said: Wanawake wamekuwa watu wa kunyanyaswa tangu enzi za kale, hii sijui ndio harusi, bwana kavaa viatu bibie anatwanga na kupepeta pekupeku! Click to expand... jamani kavua mchuchumio ili aselebuke vizuri
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 15,961 Reaction score 20,287 Feb 18, 2011 #23 shosti said: hahahahahahah babu k umeua:wink2: Click to expand... usifanye utani huyo ticha toka siku hiyo kawa mshkaji kinoma,siku hizi tunaonana sana kwenye masanga nikimkumbusha huwa anaishia kuona noma tu.
shosti said: hahahahahahah babu k umeua:wink2: Click to expand... usifanye utani huyo ticha toka siku hiyo kawa mshkaji kinoma,siku hizi tunaonana sana kwenye masanga nikimkumbusha huwa anaishia kuona noma tu.
S shosti JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 4,902 Reaction score 1,508 Feb 18, 2011 #24 babukijana said: usifanye utani huyo ticha toka siku hiyo kawa mshkaji kinoma,siku hizi tunaonana sana kwenye masanga nikimkumbusha huwa anaishia kuona noma tu. Click to expand... fimbo zote za miaka saba alizilipia siku hiyo,hahahahahahaah.
babukijana said: usifanye utani huyo ticha toka siku hiyo kawa mshkaji kinoma,siku hizi tunaonana sana kwenye masanga nikimkumbusha huwa anaishia kuona noma tu. Click to expand... fimbo zote za miaka saba alizilipia siku hiyo,hahahahahahaah.
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 15,961 Reaction score 20,287 Feb 18, 2011 #25 shosti said: fimbo zote za miaka saba alizilipia siku hiyo,hahahahahahaah. Click to expand... ndio maana ake,na mimi nilimchapa nazo za kiunoni ili twende sawa.
shosti said: fimbo zote za miaka saba alizilipia siku hiyo,hahahahahahaah. Click to expand... ndio maana ake,na mimi nilimchapa nazo za kiunoni ili twende sawa.
B Bulletmanpaul Member Joined Feb 18, 2011 Posts 26 Reaction score 0 Feb 18, 2011 #26 Mamito kajiachia kimtindo d-zyn chini katoka na kia2 kutoka kwa mungu(((peku)))
mfereji maringo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 1,043 Reaction score 262 Feb 19, 2011 #27 si mchezo
B bakarikazinja Senior Member Joined Nov 9, 2009 Posts 177 Reaction score 8 Feb 19, 2011 #28 du hayo ndio mapenzi ya dhati kwa sasa uwezi ukaona
zaratustra JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 848 Reaction score 225 Feb 19, 2011 #29 Aliyeleta thread hii kaomba tuipe habari picha hii, lakini sijaona hata mmoja aliyeipa "habari picha hii"! ..........Akuu mimi nimevua viatu nicheze twist vizuri, wewe unaleta ubitoz wako!!!
Aliyeleta thread hii kaomba tuipe habari picha hii, lakini sijaona hata mmoja aliyeipa "habari picha hii"! ..........Akuu mimi nimevua viatu nicheze twist vizuri, wewe unaleta ubitoz wako!!!
menyidyo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2010 Posts 1,339 Reaction score 194 Feb 19, 2011 #30 Dah inamaana enzi hizo walikuwa hawashikani?
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,252 Reaction score 90,446 Feb 19, 2011 #31 enzi hizo kila mtu na style yake..no marashi no manukato.....wakitoka hapo.....puya lake ni noumaaaaa....
enzi hizo kila mtu na style yake..no marashi no manukato.....wakitoka hapo.....puya lake ni noumaaaaa....