Ipatie jina hii chenga

Ipatie jina hii chenga

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,132
Reaction score
10,514
Mchezo wa mpira bwana una matukio ya ajabu, mtu kapigwa chenga mpaka kalala chini.

Ipatie jina hii chenga.
 
Tayari ina jina,
Hiyo ni cruyff’s turn, aliipiga mwaka 1974 ktk world cup kama sikosei..
ikabatizwa cruyff turn
Moja kati ya turn nizipendazo kipindi nacheza.
 
Tayari ina jina,
Hiyo ni cruyff’s turn, aliipiga mwaka 1974 ktk world cup kama sikosei..
ikabatizwa cruyff turn
Moja kati ya turn nizipendazo kipindi nacheza.
Wavunja nyonga 😃
 
Back
Top Bottom