NDUKI JF-Expert Member Joined Jan 19, 2013 Posts 3,440 Reaction score 2,450 Jan 16, 2015 #21 gasy wa Ukweli said: Hapo umechanganya kampuni mbili tofauti...ni sawa na useme unatafuta Nokia ya Samsung........eleza vizur utapata msaada Click to expand... 'unajua nlikuwa na stress za ajabu leo lakini nimejikuta nikifurahi kwa hii comment yako asee,thanks a lot'
gasy wa Ukweli said: Hapo umechanganya kampuni mbili tofauti...ni sawa na useme unatafuta Nokia ya Samsung........eleza vizur utapata msaada Click to expand... 'unajua nlikuwa na stress za ajabu leo lakini nimejikuta nikifurahi kwa hii comment yako asee,thanks a lot'
Fundisi Muhapa JF-Expert Member Joined Nov 25, 2013 Posts 4,422 Reaction score 2,115 Jan 16, 2015 #22 High Vampire said: ndio tablet ya sumsung Click to expand... Hapa karudia tena. sUmsung.....
srinavas JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,270 Reaction score 4,182 Jan 16, 2015 #23 High Vampire said: natafuta ipad ya sumsung mimi Niko mwanza Click to expand... Acha ushmba wewe ipad za samsung ndio nn?
High Vampire said: natafuta ipad ya sumsung mimi Niko mwanza Click to expand... Acha ushmba wewe ipad za samsung ndio nn?
Ally Bakary Member Joined Nov 17, 2014 Posts 20 Reaction score 5 Jan 16, 2015 #24 Tatizo anataka kuongea lugha ya kigeni angeongea lugha kwao
boyfriendy JF-Expert Member Joined Sep 9, 2012 Posts 1,988 Reaction score 1,034 Jan 16, 2015 #25 High Vampire said: ndio tablet ya sumsung Click to expand... Sio sumsung ni samsung
yenyewe JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 621 Reaction score 94 Jan 16, 2015 #26 High Vampire said: ya kichina hamna ninunue zaid ya kilo nane nipate ya kichina poa nikienda dar nitatafuta Click to expand... Kwani ya mchina unaijua?
High Vampire said: ya kichina hamna ninunue zaid ya kilo nane nipate ya kichina poa nikienda dar nitatafuta Click to expand... Kwani ya mchina unaijua?
Samwel Meleka JF-Expert Member Joined Oct 16, 2014 Posts 601 Reaction score 269 Jan 16, 2015 #27 High Vampire said: natafuta ipad ya sumsung mimi Niko mwanza Click to expand... Ninayo Note 10.1 version ya mwaka 2014 ni soft touch yake kuliko note3 Ki ufupi ni nzur bei laki8 nipo mwanza
High Vampire said: natafuta ipad ya sumsung mimi Niko mwanza Click to expand... Ninayo Note 10.1 version ya mwaka 2014 ni soft touch yake kuliko note3 Ki ufupi ni nzur bei laki8 nipo mwanza
G Gallijembe Senior Member Joined Jan 6, 2014 Posts 181 Reaction score 37 Jan 16, 2015 #28 Mko makini saana wakuu, nimejikuta cwez kujizuia kucheka.
Bill of Quantity JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 1,233 Reaction score 407 Jan 17, 2015 #29 Saint Ivuga said: Kijana mm ninayo i pad ya samsung ni mpya brand new kabisa haijafunguliwa. Ni pm tuongee kama utakubali kulipa kwa tigo pesa tutaelewana bei. Click to expand... Mpya brand new....
Saint Ivuga said: Kijana mm ninayo i pad ya samsung ni mpya brand new kabisa haijafunguliwa. Ni pm tuongee kama utakubali kulipa kwa tigo pesa tutaelewana bei. Click to expand... Mpya brand new....