Msaada pliiz! Ipi kati ya hizi ina option nzuri! Hasa usomaji na upatikanaji wa vitabu mbalimbali kwa unafuu zaidi!
Nimekutana na mawazo yanayofanana kuwa product hizi zinafaa kwa VITABU ila ipi ni zaidi!
Natanguliza shukrani

mkuu unataka kusoma vitabu tu au na shughuli nyengine? Kama ni vitabu tu hamna haja ya kupoteza hela karibia milion kwa tablet hizo zipo ebook reader za kuanzia 60,000 hadi 200,000 kutokana na choice yako
pia kuna makampuni yanauyouza vitabu kama barnes&noble na amazon wana e reader zao ili uweze kusoma vitabu vyao.
Sema ereader zinakua ni black and white na kama zina rangi basi resolution inakua ndogo.