Habari wana jamvi.......
nahitaji kununua iPad . Specification zake ziwe::iPad 2 16/32/64 GB WiFi + cellular factory unlocked 9.7" au iPad 3 16/32/64 GB WiFi + cellular factory unlocked 9.7" .. mwenye data zozote za hizo products hasa bei zake kwa hapa Dar es salaam Naomba anisaidie...nawasilisha