oxlade
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 601
- 96
Ni ya WI-FI + CELLULAR au WI-FI pekee?
mkuu mbona nimemjibu.....
ina WIFI na sehemu ya sim card mkuu.
simu ni 0717183929. ni mpya nna shida tu mkuu
Nadhani tulipost kwa wakati mmoja, maana wakati natuma nilikuwa sijaiona reply yako. Kwasasa nipo mbali kidogo nikirudi mwanzoni mwa mweiz ujao nitajaribu bahati yangu. Lakini nitakuomba ushuke kidogo kama itakuwa si mbaya sana kwako.
Ukileta iPad toleo jipya nicheck mkuu
Ipad 2 ipo dola 800.16 gb