Nimeuziwa ipad2 nikaiwasha iko vizuri nimetumia kama two hours out of internet no problem! Mambo yamebadilika baada ya kuiunga na mtandao ika jilock na kuandika ipo kwenye lost mode!
Rudi ulipoinunua au mrudishie aliekuuzia, kama ni wa barabarani basi epuka kununua barabarani ukinunua bidhaa nenda sehemu husika na upewe risiti yake ili ikitokea tatizo basi uweze kuwa na uthibitisho au utetezi.
Hapo hata polisi wakikukamata utashindwa jitetea maana si yako. Mwenye nayo kashailoki tayari
ipad gani pia ukinunua kitu cha apple cha kwanza angalia icloud lock ndo uendelee mambo mengine kama ipo usiconnect na internet connection then toa kwanza icloud lock
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.