Changamoto ni pale unapotaka kununua vifurushi au kuingiza salio, hiv hakuna na mna nyingine!? Nina ipad air 2 inanitesa sanaiPad zimewekewa SIM card for internet access only, huwezi kuitumia kupiga simu au kutuma texts. Kwa mahitaji ya calls na texts inabidi utumie facetime or iMessage, lakini nazo zinafanya kazi kwa mawasiliano na device nyingine za apple tu
Changamoto ni pale unapotaka kununua vifurushi au kuingiza salio, hiv hakuna na mna nyingine!? Nina ipad air 2 inanitesa sana
Changamoto ni pale unapotaka kununua vifurushi au kuingiza salio, hiv hakuna na mna nyingine!? Nina ipad air 2 inanitesa sana
Kama ni wa miaka mingi hauwezi kumsaidia maana kila update apple walikuwa wanaziba mianya ya ios kuwa jail broken na twiks nyingi zilikuwa lazima ujail break simu so twik ya ios 6 haiwezi fanya kwenye ios 7,8,9Namna ipo ngoja nikuoneshe mjadala fulani wa miaka mingi humu humu jf
Hiki atakachokuta hapa hakiwezi kumsaidia kama nilivyosema ipad za mwanzo kabisa ya 1 & 2 zilikuwa na hardware sawa na iphones so zilikuwa na uwezo huo ila akawa amezifunga kwenye software watu waka jailbreak na kuweka twiks, kilichofuata apple akabadaili akawa anaweka network card tofaut baina ya iphone na ipads ambapo networks ya ipad ni ya data tu haina uwezo wa kufanya calls or sms.
Labda nikusaidie kwa upande wa kudownload video au kitu chochote kile nenda app store download app inaitwa [HASHTAG]#download[/HASHTAG].hapo utaweza kudownload kitu chochote siyo video tu yani kila kitu
Note hiyo app inamatangazo mengi lakini siyo kiasi chakukufanya uwe bored