ipad 2 64GB Inahitajika Haraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ipad 2 64GB Inahitajika Haraka

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kiroroma, Oct 29, 2011.

 1. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Nahitaji kwa haraka sana ipad 2 64GB Used. Bei isiwe ya dukani sana.Tafadhali weka contact zako nikupigie nipo Dar.
   
 2. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ofa yako bei gani kwa kifaa hicho?
   
 3. aye

  aye JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,989
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 160
  weka contact yako kama uko serious
   
 4. I

  ICHONDI JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Ninayo ipad 2 (3gs) 32GB mpya ndani ya box with case. I think wewe uweke contact yako, au visit post nyingine hapa ya anayetafuta ipad 3, nimeweka contact
   
 5. h

  halimbaya Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mkuu me nahitaji kufahamu bei ya hiyo ki2,nicheck humu 2talk 0653560524 bt npo mbeya
   
 6. I

  ICHONDI JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Bei yake ni dola 1000. Ina case to cover up which cost about 100 dollars. So for the price is good. Mpigie dada yangu ndio nimempa auze no yake ni 0754310086. Mimi nipo safarini nje ya nchi kwa Sasa hadi end of the month
   
 7. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,149
  Likes Received: 23,837
  Trophy Points: 280
  Mimi ninayo mpya, kitu ndani ya box iPad 2 64GB with Wi-Fi + 3G model sema tufanye biashara!.
   
 8. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Rate ya dollar yako ni sh ngapi ya TZ,kwanini usiuze kwa shs yaani sema nauza ,hivi sasa naona Us dollar 1 ni sawa na Tsh 1700 ukizidisha na 1100 ina maana unauza hiyo Ipad 1,870,000 du kazi ipo
   
 9. I

  ICHONDI JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Kazi ipo Si utani kaka. Hiyo iPad ilinunuliwa kwa dola, shs ikipotomoka haina maana base price inaporomoka. Unless kama ulikuwa umeweka margin ya 1000 percent ndo unaweza kuadjust price kutokana na rate ya shs. But with a thin margin ya 10percent you can't make any movements. Vitu vitazidi kuwa ghali economy yetu inategemea imports zaidi. Is not me, as such I cannot sell Kwani price in terms of shs inazidi kupaa. That is not god news for people selling imported goods, and there is nothing I can do kaka Huo ndio ukweli
   
Loading...