kichwanazi
Member
- Apr 11, 2013
- 89
- 9
- Thread starter
- #21
msiwe waoga jamani leteni maujanja ili watu ambao hatuna uwezo wa kununua bando tufaidi...!!!
ukisahau password kuna option ya kurecover password, unaweza muandikia invisible kurest password yako via email kwa nini hukufanya hivyo?
jamani mbona unamaswali mengi kwani ww ni polisi....!!!!
JF ndio kiboko yao
JF ndio darasa
JF ndio dimbani
mwaga mautundu usiogope....
Nilikuwa napita tu
Watu mshachafua hali ya Hewa huko so Hacha lipinduke tu maana mmezidi kutafuta sifa za kijingamkuu mbona kama kuna ajari tena
Man hivi wewe Umepitia kwa Mpande(MTS) ?kweli wewe KJ
Tupite Wote Mkuu.Nilikuwa napita tu
poa twen'zetuTupite Wote Mkuu.