Iover boy vs moyo mashine IPI ngoma Kali

Iover boy vs moyo mashine IPI ngoma Kali

haha nilitaka nimuite RRONDO anisaidie kuchagua maana benny na barnaba wote ni vipenzi vyangu , ingawa nilijua tu field marshall atachagua moyo machine

Anyway ntaenda tu kwa lover boy

" Najua ushaumizwa mengi sana,
Ushakutana na ma-heart breaker,
Ila sio mimi, I am a good girl
Walishazichezea hisia zako mpenzi wangu,
mwisho wa siku wakakuacha ukilia
Mapenzi ukachukia,
ila sio mimi....;I
am a good girl, I am a good girl...."

lines za kumpa tongozo Benny. Kwenye moyo machine napenda zaidi ile dinner teh
Hebu niambie vizuri, nani umemuibia hapo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom