Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,417
zagalo achana na swala la device nyingi..ebu niambie Iphone5 imefikia mauzo ya S4(1 against 1)..
sidhan kama hata hio s4 imefikia nusu ya muzo ya iphone 5. Nakumbuka wakat inatoka iphone 5 iliuza unit milion 9 ndan ya siku 3 wakat gs4 unit kama milion 10 mwez wake wa kwanza
Last edited by a moderator: