Invoice and Quotes on the GO

kizito2009

Senior Member
Jan 6, 2010
172
223
Kuwa mjanja
  1. Je wewe ni mjasiriamali ambaye mara kwa mara unatoa quotes pamoja na invoices kwa ajili ya wateja wako?
  2. Je huwa unachapa vitabu vya quotation pamoja na invoices kwa ajili ya Biashara yako
  3. Je unapenda kupunguza gharana za uendeshaji?
  4. Je ungependa kupunguza matumizi ya karatasi ili kuhifadhi mazingira?
  5. Je ungependa kuwa na uwezo wa kutengeneza invoice kwa kutumia mobile app popote pale ulipo na kuwatumia wateja wako kwa njia ya email?
  6. Je ungependa mfumo ambao utakuwezesha kujua iwapo mteja wako ametazama invoice au quotation yako?
  7. Je ungependa kumwezesha mteja wako ku APPROVE AU REJECT quotation yako na we kujulishwa mara moja
Kama Jibu ni ndio basi upo mfumo cloud based unaokuwezesha kuwa invoiceing system ambayo unaweza kuitumia

Wasiliana nasi kwa email simu:+255717512851 kwa maelezo zaidi:

Gharama zetu ni kama ifuatavyo kulingana na data storage:

200 MB:TZS 25000 kwa mwaka
500 MB:TZS 45000 kwa mwaka
1GB :TZS 65000 kwa mwaka



Karibuni
invoclie.JPG
 
Hio image ni ya client view link kama unavoona anaweza bofya reject au approve
 
Back
Top Bottom