Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Hamna office?
Mmh yani we una branches nchi zote mtu anataka kwenda? Coz najua barua inatakiwa itoke nchi husika anyway poa
Ok sawa we endelea tuSiwezi sema nina branches nchi zote,ila nina network kubwa karibia nchi nyingi duniani hasa zile maarufu.Hakika barua ya mwaliko inatoka nchi husika na inapatikana na copy ya passport ya anayetoa mwaliko.
Bei yako ngapi sasa kwa mfano nataka kwenda Vanuatu
Wadau habari zenu?
Kwa wale wanaohitaji kupata barua za mwaliko"Invitation letter kutoka nchi mbalimbali wanazotaka kutembelea,na wameshindwa kupata passport au VISA,basi wawasiliane nami ili niwasaidie kupata hizo barua za mwaliko kwa malipo.
Kitu cha msingi asiwe mtu anayetaka kwenda kufanya uhalifu katika nchi hizo au kutaka kutokomea mara baada ya kufika,huduma hii inalenga zaidi wale wanaotaka kwenda kwa ajili ya Leisure/Tourism,kusoma nk.
Karibuni wenye kuhitaji PM.