Invisible Habari yako..??

Huwa tunasema, kamshika pabaya

inatakiwe muwe mnatuachia mda wa kuongea na jamaa na marafiki.ukiona haachiliwi mala kwa mala ujue ana tabia mbaya.anahofia akienda huko ataharibu. mia
 
Aisee we jamaa kiboko, halafu invizibo mpaka saa hii hajajibu salamu wala maswali uliyomuuliza... Ishu ya kosta labda ni kale kamradi kuuza u premium memba kamemsaidia kuzinunua..!
 
mmh! na mipasho unaiweza!!! lol!!
 
Aisee we jamaa kiboko, halafu invizibo mpaka saa hii hajajibu salamu wala maswali uliyomuuliza... Ishu ya kosta labda ni kale kamradi kuuza u premium memba kamemsaidia kuzinunua..!

anauzia wapi mkuu? anauza kwa bei gani? mi mwenyewe nataka kununua.
 

Unafaa kubigwa BAN wewe. Kukosea ukosee wewe hasira umalizie kwa ff????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…