[h=2]Faizafoxy wa Jamiiforums na Kikwete wana uhusiano gani?[/h]
Huyu mwanadada/mwanamama kwakweli ananishangaza sana kwa jinsi alivyosimama kidete kumtetea JK kwa karibu kila kitu.Ni kweli anaweza kumtetea,lakini ndio kwa kiwango hiki?!
Binafsi, hata viongozi wa CHADEMA/UKAWA huwa nawaponda pale,kwa mtazamo wangu,napoona wamekosea lakini huyu mwenzetu Kikwete kwake ni "infallible"!!
Dada yangu,kama wewe ni mshauri/msaidizi wa raisi,hakika utakuwa unamuangusha na kumponza kwa mengi.
Sasa wadau, huyu member mwenzetu hapa JF ana uhusiano gani na JK?
https://www.jamiiforums.com/complai...ikwete-wana-uhusiano-gani-7.html#post11495335