mkuu mwenzio elimu ndogo jamanii sijasoma kihivyo shule ilinishinda..mm sijui maana ya inverter embu fafanua kwa kiswahili hiyo INVERTER ndio kitu gani hasa na kazi yake nini na inatumika kwa madhumuni gani.!

asante sana mkuu, bila shaka hii inafaa pia hata kwa nyumba ambazo hazina kabisa umeme wa Tanesco ila ndani ya nyumba tayari una wiring yako..kama ni hivi basi itawafaa sana ndugu zangu kule kijijini ambao wanatumia vibatari ngoja nitawafanyia mpango