Invalid Web Setting

Mawaiba

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
417
Reaction score
151
Habari za week end wakuu. Naomba msaada wenu juu ya namna ya kurekebisha tatizo hili kwenye simu yangu. Natumia Nokia 2730. Ninapoingia kwenye internet na kutaka ku-download kitu e.g. image, program, video clip etc, huwa nashindwa kabisa, badala yake naona maelezo yanayosomeka hivi; 'Invalid Web Setting'. Browser yangu ni Opera Mini. Kama kuna mtu anayejua jinsi ya kurekebisha tatizo hili naomba anielekeze. Asanteni.
 
Unatumia mtandao gani? Mfano kama ni Vodacom hakikisha umeactivate vodacom internet kama default configuration. Nenda kwenye menu, chagua configuration settings, default settings, vodacom internet. Ukimaliza rudi shuka kwenye prefered access point, chagua vodacom internet. Nilichosema hapa ni vile vile kwa zantel, nk
 
Are you joking? Mbona huleti majibu?
 
Are you joking? Mbona huleti majibu?
Samahani sana mkuu, baada ya kuirusha hii kitu hewani nikaanza safari, ambayo nilikuwa na-drive na imenichukua abt 5 hr kufika destination; hivyo nilipitiwa ndio maana sikurudi tena hapa. Anyway, huwa natumia Airtel. Nashukuru kwa maelezo yako, nitajaribu kuyafanyia kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…