Naombeni msaada jamani, kila napotaka kudownload kitu chochote kwenye simu yangu naambiwa invalid web setting. Hiz setting zko wap na ntafanya nin ili niweze kudownload? Thnx
Nokia 2730 classic, mkuu,
Kwa kwel chief mkwawa mungu akubaliki sana maana ni m2 ambae unasaidia sana wa2 ktk mambo haya ya technologia
God bless u braza