BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,156
- 14,223
Ogopa sana mtu anayependa kujifungia chumbani peke yake.
Inasadikika kuwa introvert ni watu wenye maarifa ambao ufeel comfortable kuwa pekee yao kutafakari jinsi ulimwengu unavyoenda lakini turudi kwenye uhalisia mazingira ya kukaa pekee yako at some point yanachochea kuwaza vitu ambavyo ni negative hususani fantasy za ngono.