B52 umeiotea bingo! Mtu wangu, unajua kiJeief kuwa wa kwanza kumkaribisha mgeni kama ni m'beijing ni sawa na maana ileee.....!
Hongera kwa mazinduzi !
Shem Amy hajambo ?
Simuoni au yuko jikoni nini ?
Back to Mada Mgeni kriib , ngoja niangalie bandani nione kama kuna uwezekano wa kuchinja ndege .