Hodii mpaka ndani. JamiiForums ilikua inanisaidiaga sana nikitaka kujua vitu vya mjini mijini nadhani mnaelewa. Yani hii website ni kama google flani ivi lakini ya Kiswahili🦦
Mimi ni mwanafunzi wa UDSM mwaka wa kwanza ndo naelekea wa pili, nasomea Bachelors Degree in Computer Engineering and IT napenda sana mambo ya security na networking. Having said that I hope I can help people in this platform and share ideas