Mkuu, nimeinstall Security Kiss kwenye pc yangu na inapiga mzigo fresh, tatizo ni kuwa haipatani na AVG Internet Security, yaani nikitaka kutumia SK ni lazima ni turn off kwanza AVG IS, natakiwa nifanye nini ili nitumie sk huku AVG IS ikiwa ON pia?. Thanks