Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
haina demo? ya kujaribu?
meteor hii siijui ntaitest ila ile sandwitch haina kitu ni modification tu ya expat shield ambayo ni free unlimited vpn yenye ads wanatulia hela zetu.
Embu Rusha Print Screen tuone Speed test yake inakuwaje Mkuu Njunwa? Pia Nina shida ya kuwa na VPN ya USA ili niweze kustream Video Giant Video Libraries kama vile NETFLIX/VUDU/HULU/HBO GO/AMAZON and VANGUARD.
Anayewza kunisaidia tafadhali ani-PM haraka.
Sijakusoma mkuu kuhusu hiyo modification
Emu nifungue macho hapo
Embu Rusha Print Screen tuone Speed test yake inakuwaje Mkuu Njunwa? Pia Nina shida ya kuwa na VPN ya USA ili niweze kustream Video Giant Video Libraries kama vile NETFLIX/VUDU/HULU/HBO GO/AMAZON and VANGUARD.
Anayewza kunisaidia tafadhali ani-PM haraka.
sijui sasa hv ipo vp ila kuna wakati walikua wanatumia server za hotspot/expat shield.
hawa hotspot na expat shield ndo vpn kubwa zaidi duniani wana wateja wanaweza fika hata milion 100 na server za kumwaga bidhaa zao nyingi ni free
ewaaaa :clap2:
Mkuu kama alivyokupa jibu chief mkwawa chakufanya tafuta free vpn kama aliyokutajia hapo juu
Hiyo ni option kama wewe ni mgumu wa kutoa hela lkn kama sio mgumu wa kutoa hela pd proxy,sandwich vpn,meteor vpn zitakufaa....chakufanya nenda site tajwa afu mtafute reseller wa Tz
mkuu hii meteor vpn setup yake unaipata wap??? kenye site yao sijainyaka bdo,, ww kam unayo naomba niwekee hapa,, then vp ww umeweza kudeposit perfect money kwa kutumia credit/depost card?
Embu Rusha Print Screen tuone Speed test yake inakuwaje Mkuu Njunwa? Pia Nina shida ya kuwa na VPN ya USA ili niweze kustream Video Giant Video Libraries kama vile NETFLIX/VUDU/HULU/HBO GO/AMAZON and VANGUARD.
Anayewza kunisaidia tafadhali ani-PM haraka.
Sio mbaya kuwajuza wana Tech wenzangu walio interested na Virtual Private networks
Kuna haka ka VPN kameibuka siku hizi sio vibaya ukika review na ukaacha maoni yako hapa chini
Pia Tembelea hapa usome zaidi Meteor VPN Tz
nicheck PM tuonje onje kwanzaMkuu meteor vpn setup hipo kwenye downloads
Perfect Money huwezi ku-deposit kwa card labda kutafuta site/kampuni ambazo wanabadilisha PP to PM(PayPal-Perfect Money) lkn payment option nyingine iliyopo ni M-pesa
Kama upo interested ni PM
nicheck PM tuonje onje kwanza
Mkuu sasa trial ni 1dei afu ni test server inatumika
Kwa hiyo hata ukionja hautofaidi utamu wa kweli
Nakushauri pakua ule ndo utapata utamu