Hawa google hapa wamechemsha! I dnt know what they are trying to do but i think wamechemsha! Although its a cheapest tablet so far, it wont be succesfull. Hawa jamaa google tayari they have fully acquired Motorola company, whats the point ya wao kwenda kwa ASUS ili watengezewe tablet if they have motorola xoom?? Hii mijamaa saivi ishachanganyikiwa baada ya kuona IOS inazidi kuwa na customers na huku Windows wanakuja kwa kasi ya ajabu!
Wengi hamjafurahishwa na Nexsus 7 kwa sababu ya kushindwa kutumia line. lakini vitu vingine hamuangalii kabisa.
Ipad 3 16Gb Wi-Fi only inauzwa US $499 na Nexus 7 ni US $199 tofauti ya US $300 lakini bado watu mnalalamika. Ikunbukwe kua Nexus 7 imekuja kwaajili ya kuwapa watu wa kila kipato ueezo wa kumiliki Tablet. Inawezekana kua Google wata leta version yenye Cellular capability. tusubilini tujionee wenyewe.
BINAFSI NAONA KAMA Nexus 7 NI MKOMBOZI KWETU WA TU WA KIWANGO CHA CHINI, MSIHOFU SUALA LA Wi-Fi CONNECTION UNAWEZA TUMIA YOUR ANDROID SMARTPHONE KAMA Wi-Fi HOTSPOT. KWA BEI HII NA FEATURES ILIZO NAZO SIO SUALA LA KULALA MIKA KABISA. MNAWEZA KUNUNUA IPAD KWA USD $599 YENYE CELLULAR NETWORK CAPABLE.