Introducing Droid VPN

Mm nimewa-Contact wote munjy1 pamoja na Paje lkn hamna aliyenipa jibu la mahana
We should be one mm sio haja ya kutiana makucha mpaka naona munjy1 anasema anataka abumishe usafiri
Come on men
tatizo lako unashindana sana mkuu unapenda hasa ligi, basi tukubalianeni sote tuuze 11,000tsh then tufute haya matangazo yote ktk jamii forums, jee unaweza hilo kutekeleza C6 hayupo mbali, tena hiyo 11,000tsh ni kwa faida ya kwako mwenyewe other wise as i told u mimi naweza uza hata 2,000 bila ya hasara angalia control panel yangu na ip address yangu ipo juu pale maana usasema kuwa ni fix tu.
 
Mm nimewa-Contact wote munjy1 pamoja na Paje lkn hamna aliyenipa jibu la mahana
We should be one mm sio haja ya kutiana makucha mpaka naona munjy1 anasema anataka abumishe usafiri
Come on men
Naona nijiweke kando na huu ushindani wenu..... mambo ya kiaribika mtajua wenyewe.....
 

Sasa ndio napata jibu sahihi juu ya huu mvutano unaoendelea hapa... Kumbe mvutano wenu unatokana na bei mnazo tu-charge!!
 
Sasa ndio napata jibu sahihi juu ya huu mvutano unaoendelea hapa... Kumbe mvutano wenu unatokana na bei mnazo tu-charge!!
yes ni bei, mimi nakuwekeeni chini jamaa amenuna. Paje kaweka chini zaidi yangu jamaa anazidi kununa, hahaha itabidi tuwauzie ghali ili jamaa afurahi, au unasemaje?
 
yes ni bei, mimi nakuwekeeni chini jamaa amenuna. Paje kaweka chini zaidi yangu jamaa anazidi kununa, hahaha itabidi tuwauzie ghali ili jamaa afurahi, au unasemaje?

Aisee! hapa kuna kazi kweli kweli.... Mimi nili comment kwenye thread yake kama 3 weeks hivi na kumuambia bei yake ni ghali sana,wakati reseller wengine wanauza bei ya chini zaidi yake.... Ni kamwambia biashara ni ushindani hivyo atizame upya bei yake kama anataka kufanya biashara yake kwa mafanikio.... Huwezi kutupandishia bei kwa kua tu flani amesema vile, labda kama na wewe ulikuwa umepania kumkomoa, na sio kuwa ulikua umesikia kilie chetu cha mda mrefu.

Mkuu njunwa wamavoko, Nadhani unajua biashara ya soko uria inavyo fanya kazi. wenzako wameshusha bei ili kuendana na ushindani wasoko, na wewe inakubidi uangalie namna ya kuweza kushindana nao, au unaweza kuweka masimamo wako hapo hapo kwenye bei ya zamani ni uhamuzi wako tu...
 
Last edited by a moderator:

Mkuu mm sitaki ushindani wala nn
Ndo maana jana nilikufuata PM kukwambia issue hiyo hapo
Mm voucher nauza 15k kama unaanza na baada ya hapo ni 10k
Lkn ilikwepa hayo yote tu maintain same price
cheki PM
 
nadhani mkuu nakubaaliana na wewe, lengo la mimi kushusha bei ni nyinyi waateja wangu, so officially kuanzia sasa bei ni 9,500 na 9,000 kwa wale wa cash ambaao wapo zanzibar.
Hiyo bei nadhani ni muafaaka kwaakuwa wengi wenu huwa munnunua hizi vochaa kwa ajili ya kuwauzia naa wenzenu, mimi nimewafikiria hilo ila sijui wenzangu?
 
kubalianeni wote muuze bei moja kama ni 10 iwe constant.
CC.
Paje
munjy1
njunwa wamavoko

 
Last edited by a moderator:

Sawa Mkuuu Unajiamini!!! basi Litakalo weka Nitrous Ndo Unaamishia Abiria!!! ngoja Na Mm Nianze Kutumia Hz V2!!
 
Hahahaaaa Hii IMAGE ya wateja 19,000 ndo imenichekesha na iliyo niua kabisa ni hiyo 80% Sijui siku unaweka kwa nn sikujiuliza maswali ka haya Email aliyonitumia Admin alinikubali kuwa ninazo sifa za kuwa reseller alinambia max. discount ni 45% Mkuu huenda Admin alijisahau siku hiyo Tengeneza VIDEO ya hiyo Panel basi ili kuthibitisha kuwa wewe ni AZAM wa PD PROXY Video fupi tu ioneshe jin la panel yako na Pages kwenye Active vouchers NAWASILISHA
 
5x45/100= 2.25
5-2.25=2.75
2.75x1630=4482

sasa kama munanunua 4482 why munatugonga bei hvo?
 
5x45/100= 2.25
5-2.25=2.75
2.75x1630=4482

sasa kama munanunua 4482 why munatugonga bei hvo?

Mkuu hiyo 45%discount mpaka ufikishe wateja wengi mno

mfano kuna mnigeria rafiki yangu skype ana clients active 1200 na anayo discount ya 30%

Pia bei ki-ukweli iko juu kwa sababu mm nilifuata niliyoikuta anaitumia Paje
 
Last edited by a moderator:
sijaelewa haya mahesabu

kwa mwezi pd proxy wanauza 4.99usd premium ambayo ni kama 8200 ya kibongo wao reseller wanapunguziwa bei kwa asilimia 45(namnukuu njunwa) ndio nikafanya mahesabu ikaja bei ya asilimia 45 nikatoa kutoka bei yenyewe nikapata hela wanayouziwa wao
 
nyie gombaneni wee ila mwisho wa sikuhakikisheni basi lisipinduke alafu muwe mna alternative tayari siku basi likipinduka!!!,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…