Introducing Droid VPN

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
Ikiwa huduma za VPN zinazidi kupamba motto na bei inazidi kushuka kabisa
Na mm leo nakuja na DROID VPN kwa watumiaji wa Simu za Android na Tablets
Utafaidi Unlimited internet kwa bei ile ile(mm si shushi bei coz najiamini wasio jiamini ndo wanashusha)

Kwa wale ambao watanunua VPN kwa ajili ya Windows ntawapa bure settings na internet ktk simu yao 100MB Per day ambayo inatosha kwa matumizi ya kawaida

REQUIREMENTS

  • Android >v4 device if not i.e <3.x the device must be rooted
  • Droid VPN from Google playstore
  • Enjoy


 

Mi nahitaji tu kujua settings, situmii computer na hiyo droid vpn natumia kila siku sababu tigo wana dynamic
 
nimependa iyo ambao hawajiamini wanashusha bei, dongo kwa munjy1 na Paje nini?

C6 rekebisheni hii app ya android crush nyingi, alafu nimesanda nikifanya quotation inaquote comment ya juu yake
 
Last edited by a moderator:
njunwa hujui kama 100mb zinatosha kwa simu? just my advice

Upo right Mkuu
ndo maana nikasema ni just addition.... lkn kuna watumia tablet 24hrs wapo busy na device
zao hivo nimeona vema kuwapa support
 
munjy1 Licha ya kueleza hayo yote mkuu nimekuelewa vizuri sana... Tatizo lako umelewa mafanikio mkuu, mimi ni moja ya wateja wako wa mwanzo kabisa, natulikuwa tunashirikiana vizuri tu hadi ilipotokea ajali ya basi letu kupinduka, ulituahidi kutupa njia mpya ikipatikana, ila ukufanya hivyo hadi tukazipata kwa watu wengine.....

Ni vizuri kuwa na mawasiliano mazuri na wateja wako wa uhakika, na lugha nzuri kwa wateja, hii mambo ya kuwa siui una wateja wengi weka kando we piga biashara na hudumia wateja wako kama mwanzo... Haya mashindano mnayo leta hapa ndiyo yatakayo fanya haya basi ya pinduke na wote tukose... kutokana na ushindani wenu huu unasababisha kila kitu kuwa adharani tofauti na hapo mwanzo...

Pendekezo: CC C6 , Invisible. hizi thread zilitakiwa zikae kwenye jukwaa lile kule karibu na bondeni.... hawa wenye mabasi ni wateja wenu wa matangazo, hivyo siyo vizuri kuona wanaujumiwa kupitia site ambayo wanatangaza biashara zao, ndio hiyo hiyo inayotumika kuwahujumu tena kweupe kama hapa...

Fanyeni kama ilivyo kua mwanzo, na hata zile za kule jukwaa la matangazi mziondoe kule.
Pia hawa jamaa wanauza hizi vouche siyo vibaya jamani mkachangia na JF angalau kidogo, tunajua manatengeneza fedha nyingi tu kupitia JF hivyo msiwe wachoyo namna hiyo....
 
Last edited by a moderator:


Naona unajitaidi kweli wala siwezi kukufikia make unawateja wengi mno kama kweli ni Panel yako

Mkuu hapa hamna mashindano wala nn mm nauza jukwaa la matangazo na bei yangu ni ile ile
Jana nimeona unasoma uzi wangu mwanzo mpaka mwisho baada ya mods kuuleta JF Store wako pamoja na paje
Hivo ukaona hali mbaya

Nakukumbusha kuwa wewe PD Proxy ulishaishiwa mshukuru Saleh Rashid aliyekupa settings nautaona zikibuma kama utapata nyingine

Mm nimeanza kutumia PD kwa ####### kitambo sana wakati wewe uelewi lolote
Mpaka ulipooona jina la Saleh Rashid kama reseller wa Tanzania ndo ukampigia akakupa mishe
Kipindi unampigia nilikuwa naye sasa kama hujui make nipo Mabibo Hostel pale
 

Mkuu na kuelewa vizuri sana tu.... Namba/E-mail yangu zote ulikuwa nazo ila jiiiiiiiiiiii..... hapa ndio namalizia leo siku 19 zangu za premium ambazo nilikuwa nimezi pause toka mwaka jana nitakucheck kesho....

Una kumbuka mwaka jana basi lilipinduka baada ya watu kuanza kutangaza hizi vitu kwa FaceBook na wengine kudiriki kupiga simu kwa mitandao usika kuomba setting za PD. Nadhani kaeni na reseller wenzio muone namna ya kufanya hii biashara yenu kwa uangalifu ili hiii kitu isije ikabumaa tuka pata hasara sisi wateja wakati nyie mshaweka vyenu mifukono.
 

Mm nimewa-Contact wote munjy1 pamoja na Paje lkn hamna aliyenipa jibu la mahana
We should be one mm sio haja ya kutiana makucha mpaka naona munjy1 anasema anataka abumishe usafiri
Come on men
 
Last edited by a moderator:

Mkuu simuigi mtu hapo
I see mm nauza Voucher tofauti nazako siku hizi sijajikita na PD wala nn hiyo ni by the way
Narudia tena siwezi shindana na wewe

Wewe ni Jembe mimi nika kisu tu wala sitaki fujo mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…