Kwa kipindi fulani nimekuwa nikiongeza baadhi ya feature mbalimbali. Kitu cha muhimu ambacho nimekiongeza ni "BRN System" kwa kutumia mfumo huu unaweza kuchagua kutafuta matokeo kwa kutmia mfumo wa zamani au huu wa sasa wa BRN. Kitu kingine cha msingi ni summary ambayo itakusaidia kupata summary ya matokeo mfano div 1 zipo ngapi n.k bila kupoteza muda.
MKuu,
grades za BRN ( A, B+, B, C D E F )
zina apply kwenye hii application,
pia mbona iko limited kwa serial No hadi 10 tu?
Naomba msaada,
ile video ya youtube sijafanikiwa.
(naomba nbp 0688406937)
MKuu,
grades za BRN ( A, B+, B, C D E F )
zina apply kwenye hii application,
pia mbona iko limited kwa serial No hadi 10 tu?
Naomba msaada,
ile video ya youtube sijafanikiwa.
(naomba nbp 0688406937)
Sorry mkuu kuna mtu alikuwa anaulizia software kama hii lakini akongeza kigezo kimoja kama inaweza na kutoa GPA! Vipi hii ina uwezo huo ili nimnunulie!?
Sorry mkuu kuna mtu alikuwa anaulizia software kama hii lakini akongeza kigezo kimoja kama inaweza na kutoa GPA! Vipi hii ina uwezo huo ili nimnunulie!?