Installer pekee inapaswa idai admin rights na maybe updater kama itaandika mafaili katika PF folder. Kama issue ni kuandika na kusoma data, kuna data folders kwa kila program ambazo ni unprotected na hauhitaji admin rights. Program Files si kwa ajili ya data files but "program files"
Cf. Where Can I Find Application Data folders in Windows 7? - Microsoft Community
Angalia isiwe ikawa unaandika ktk shared registry. Hauhitaji Admin rights kuandika ktk program yako
Cf. windows - Changing registry without admin rights - Stack Overflow
Nadhani Admin rights zibaki katika Installer na Updater. That is standard and adds value to usability!
BH
ivi naweza kuingiza score kwa namba halafu yenye ikaniconvertia kwenda kwenye grade?
mimi nivyofaham matokeo ya form 4/6 yanavyotoka yanakuwa interms of grade sasa kama hiyo software haibadilishi utakuwa unampa mwingizaj data kazi ya kubadil marks kwenda grade ili ndio aingize ndio aprint, nakushauri hiyo feature uiweke.
ninachomaanisha pale kwenye cell/column ya somo niwe naweza kuchange to grade kama nilingiza namba. E.g. Kama nimeweka 92 nikichagua option ya kuchange isiniwekee 92 tena ila A. Hiyo feature nivizuri ikawepo hata kama sec. Wanapenda kutoa matokeo kwa number/maksi ili anayetaka aitumie
Is this a freeware?
A screenshot shows demo!
If its commecial, how much do you sell it?
Let's us know A to Z
ninachomaanisha pale kwenye cell/column ya somo niwe naweza kuchange to grade kama nilingiza namba. E.g. Kama nimeweka 92 nikichagua option ya kuchange isiniwekee 92 tena ila A. Hiyo feature nivizuri ikawepo hata kama sec. Wanapenda kutoa matokeo kwa number/maksi ili anayetaka aitumie
Kazi kwa kwenda mbele ndugu yangu lazima tukaze buti.Nafurahi SANA siku zote nikiwaona Vijana kama nyie
Kazi njema. Kazi njema sana. Apo kwenye requirements umeweka windows installer, manake haiwezi kurun in other systems?
Ndugu Nyasiro Kamusi yako ya ESE nitaipata wapi *.apk/andrioid version yake. nimecheck playstore sikuweza kuipata.
Ndiyo ISO M.CodD hii ni kwa ajili ya Windows pekee
Okay mkuu. Keep up the good work.