M majogajo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2011 Posts 317 Reaction score 44 Oct 4, 2012 #1 Wakuu naamini JF ndo kila kitu, Mm ni mjasiriamali na ktk ujasiliamali wangu natka kufanya mambo makubwa, So mwenye kujua kutengeneza INTRANET anisaidie maelekezo hata Links za kugoogle.
Wakuu naamini JF ndo kila kitu, Mm ni mjasiriamali na ktk ujasiliamali wangu natka kufanya mambo makubwa, So mwenye kujua kutengeneza INTRANET anisaidie maelekezo hata Links za kugoogle.