Interview ya WCB-Wasafi baada ya kufanya usajili mpya siku ya leo

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
Kampuni ya Burudani Tanzania WCB iliyo chini ya mwanamuziki namba moja Tanzania na Afrika Mashariki, leo inatarajia kutambulisha msanii wao mpya.

Kampuni hiyo kwa sasa ina wasanii kama Diamond, Queen Darlin, Mavoko, Ray Vany, Harmonize.

 
Hivi wasanii wengi hawanaga baba eeeh..?
Halafu hili la kila msanii kusema au kuelezea shida zake sasa hiv sijui inatoa picha gani na huyu wa leo anasema aliiba sijui huko nyuma sijui anafundisha.na wengine waibe ili wafanikiwe
 
Back
Top Bottom