Corluka Neven
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 325
- 372
Nimetoka kumchukulia dogo fomu ya mafunzo ya umeme Electrical instillation ya muda mrefu VETA Chang'ombe. Sasa ameambiwa aje kwenye interview. Kwa wale wazoefu na ambao wameshapita ni maswali gani yanayo ulizwa ikiwa kama yanahusu umeme? maana ndio first time kutaka kusomea umeme
Nimetoka kumchukulia dogo fomu ya mafunzo ya umeme Electrical Instillation ya muda mrefu VETA Chang'ombe. Sasa ameambiwa aje kwenye interview. Kwa wale wazoefu na ambao wameshapita ni maswali gani yanayo ulizwa ikiwa kama yanahusu umeme?
Maana ndio first time kutaka kusomea umeme.
Yah ni tarehe 1/10/2020 mchujo!!!alafu masomo ni january!!sasa duu hizo hesabu sijui zitakuaje maana hata hazijulikani za wapi!!maana uyu dogo mmhVeta ndo wanafanya interview fasta hivyo?
Mithani ya mchuzo mara nyingi ni kuanzia october mpaka november ila masomo yanaanza january
Maswali ni general tuu,hesabu nyepesi na kingereza kidogo nadhani ambavyo ata form 1 anajibu
Daa ni kwelii!!ila dogo alikua anataka kusoma ile laboratory assistant!!kwangu siku iyelewaa nikaona bora hiiKuhusu maswali sifahamu. Ila umefanya safi sana , akitoka na ujuzi hawez kulala njaa.
Daa ni kwelii!!ila dogo alikua anataka kusoma ile laboratory assistant!!kwangu siku iyelewaa nikaona bora hii
Veta chang'ombe alitaka kusomea industrial laboratory assistant ?! Au?!Daa ni kwelii!!ila dogo alikua anataka kusoma ile laboratory assistant!!kwangu siku iyelewaa nikaona bora hii
Vipi? alishafanikiwa kufanya interview?Veta chang'ombe alitaka kusomea industrial laboratory assistant ?! Au?!
Veta chang'ombe alitaka kusomea industrial laboratory assistant ?! Au?!
Mimi namuuliza mtoa post na wewe una niuliza Mimi tena?!Vipi? alishafanikiwa kufanya interview?
Okey, poa!Ndio
Vipi? alishafanikiwa kufanya interview?
Mimi namuuliza mtoa post na wewe una niuliza Mimi tena?!
Okey, kila lakheri mkuu!31/12/2020 ndio majibu
VETA nao wana-complicate tu fundi msoma mita kiingereza Cha nn?Veta ndo wanafanya interview fasta hivyo?
Mithani ya mchuzo mara nyingi ni kuanzia october mpaka november ila masomo yanaanza january
Maswali ni general tuu,hesabu nyepesi na kingereza kidogo nadhani ambavyo ata form 1 anajibu
Mkuu naomba niulize...Veta ndo wanafanya interview fasta hivyo?
Mithani ya mchuzo mara nyingi ni kuanzia october mpaka november ila masomo yanaanza january
Maswali ni general tuu,hesabu nyepesi na kingereza kidogo nadhani ambavyo ata form 1 anajibu