P Pantosha JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 869 Reaction score 1,282 Jul 8, 2025 #1 Waliofanya hii editing Mungu anawaona. Huu ni upotoshaji na Heche ana haki ya kuwafungulieni mashitaka. Video hapo chini Attachments ScreenRecording_07-08-2025 19-37-16_1.mov 63.8 MB
Waliofanya hii editing Mungu anawaona. Huu ni upotoshaji na Heche ana haki ya kuwafungulieni mashitaka. Video hapo chini
LiFe 2-point-0 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2024 Posts 4,253 Reaction score 11,621 Jul 8, 2025 #2 Hata hatujui umaongelea nini boss!!
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 20,725 Reaction score 31,305 Jul 8, 2025 #3 Heche alipata mild stroke, akiongea mdomo unaenda upande, anaendelea na matibabu, tumuombee, hapo kaachiwa chama miezi micjache, eti ndip anataka apewe uongozi wa nchi
Heche alipata mild stroke, akiongea mdomo unaenda upande, anaendelea na matibabu, tumuombee, hapo kaachiwa chama miezi micjache, eti ndip anataka apewe uongozi wa nchi
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 85,737 Reaction score 145,455 Jul 8, 2025 #4 Katika media editing si tatizo. Kwa mfano interview inaweza kuwa ndefu sana ikafanyiwa editing i fit kwenye muda wa kipindi. Sasa tueleze kilichoharibiwa ni nini katika hiyo editing? Wameweka maneno si yake? Wameweka maneno yake nje ya muktadha? Editing imeharibu nini? Kile ambacho hakijafanyiwa editing ni kipi na kina tofauti gani na kilichokuwa edited?
Katika media editing si tatizo. Kwa mfano interview inaweza kuwa ndefu sana ikafanyiwa editing i fit kwenye muda wa kipindi. Sasa tueleze kilichoharibiwa ni nini katika hiyo editing? Wameweka maneno si yake? Wameweka maneno yake nje ya muktadha? Editing imeharibu nini? Kile ambacho hakijafanyiwa editing ni kipi na kina tofauti gani na kilichokuwa edited?
P Pantosha JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 869 Reaction score 1,282 Jul 8, 2025 Thread starter #5 Mbaga Jr said: Leta hy video acha taarabu Click to expand... Video ipo tayari
P Pantosha JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 869 Reaction score 1,282 Jul 8, 2025 Thread starter #6 Kiranga said: Katika media editing si tatizo. Kwa mfano interview inaweza kuwa ndefu sana ikafanyiwa editing i fit kwenye muda wa kipindi. Sasa tueleze kilichoharibiwa ni nini katika hiyo editing? Wameweka maneno si yake? Wameweka maneno yake nje ya muktadha? Editing imeharibu nini? Kile ambacho hakijafanyiwa editing ni kipi na kina tofauti gani na kilichokuwa edited? Click to expand... Wameweka ujumbe si wake.
Kiranga said: Katika media editing si tatizo. Kwa mfano interview inaweza kuwa ndefu sana ikafanyiwa editing i fit kwenye muda wa kipindi. Sasa tueleze kilichoharibiwa ni nini katika hiyo editing? Wameweka maneno si yake? Wameweka maneno yake nje ya muktadha? Editing imeharibu nini? Kile ambacho hakijafanyiwa editing ni kipi na kina tofauti gani na kilichokuwa edited? Click to expand... Wameweka ujumbe si wake.