Interview ya Heche iko edited

Interview ya Heche iko edited

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
Waliofanya hii editing Mungu anawaona. Huu ni upotoshaji na Heche ana haki ya kuwafungulieni mashitaka.

Video hapo chini
 
Attachments

  • ScreenRecording_07-08-2025 19-37-16_1.mov
    63.8 MB
Heche alipata mild stroke, akiongea mdomo unaenda upande, anaendelea na matibabu, tumuombee, hapo kaachiwa chama miezi micjache, eti ndip anataka apewe uongozi wa nchi
 
Katika media editing si tatizo. Kwa mfano interview inaweza kuwa ndefu sana ikafanyiwa editing i fit kwenye muda wa kipindi.

Sasa tueleze kilichoharibiwa ni nini katika hiyo editing?

Wameweka maneno si yake? Wameweka maneno yake nje ya muktadha?

Editing imeharibu nini? Kile ambacho hakijafanyiwa editing ni kipi na kina tofauti gani na kilichokuwa edited?
 
Wameweka ujumbe si wake.
 
Back
Top Bottom