Interview ya Fire ni lini?

Interview ya Fire ni lini?

hata short list bado,huwa wanaenda training pamoja na uhamiahi ama polisu ama magereza so mpaka uhamiaji nao washort list ndo mnaweza kuitwa!!! keep on waiting
 
mwaka huu mafunzo yao yatakuwa Kiwira Mbeya kwenye chuo cha magereza nadhani na uhamiaji nao watakuwa kule ila polisi sasa wana miezi minne depo
 
tanzania maana ya classified au top secret hakunaga.
 
Back
Top Bottom