Interview ya diversity VISA

Interview ya diversity VISA

BRADF

Member
Joined
May 9, 2017
Posts
35
Reaction score
13
Moja kwa moja niende kwenye point .

Kwa yule amabaye alishafanyiwa interview ya hii aina ya visa naomba anipe mwanga nipate kuelewa .

Asante
 
Ni maongezi ya kawaida na kukaribishwa USA, si usaili hata kidogo.
 
Relax mkuu. Ingawa hujasema ni ubalozi wa wapi, nahisi itakuwa USA. Kama ndo hivyo, basi maswali yao siyo issue sana na ni mepesi kama kula biscuits. kwa mfano, utaulizwa-;
  1. umesomea wapi?
  2. unafanya kazi gani?
  3. ukifika USA utakaa jimbo gani? county, street etc
  4. utafikia kwa nani or nani mwenyeji wako?
  5. una mahusiano gani na wenyeji wako? etc
Ingawa unaweza ulizwa issue nyingine depends with how your profile read about. jiandae lugha vizuri, simaanishi hujui kimombo but kujiweka fit kwa ajili ya kutiririka. be calm, be confident and be honest...utafaulu interview yao. pia, usisahau vielelezo vyote, eg ID, Barua ya kazi huko unakofanyia(if applicable) etc. showing evidence, inakuongezea credit pale inapobidi. dress code inahusika sana.
 
“Why are we having all these people from shithole countries come here?”, alihoji Trump. Halafu bado mnataka kwenda huko.
 
Relax mkuu. Ingawa hujasema ni ubalozi wa wapi, nahisi itakuwa USA. Kama ndo hivyo, basi maswali yao siyo issue sana na ni mepesi kama kula biscuits. kwa mfano, utaulizwa-;
  1. umesomea wapi?
  2. unafanya kazi gani?
  3. ukifika USA utakaa jimbo gani? county, street etc
  4. utafikia kwa nani or nani mwenyeji wako?
  5. una mahusiano gani na wenyeji wako? etc
Ingawa unaweza ulizwa issue nyingine depends with how your profile read about. jiandae lugha vizuri, simaanishi hujui kimombo but kujiweka fit kwa ajili ya kutiririka. be calm, be confident and be honest...utafaulu interview yao. pia, usisahau vielelezo vyote, eg ID, Barua ya kazi huko unakofanyia(if applicable) etc. showing evidence, inakuongezea credit pale inapobidi. dress code inahusika sana.
Nashkuru
 
Nashkuru sana kwa mchango wenu wa kimawazo nimepata mwanga zaid kwenye hili jambo
 
Hongera brother, kila la heri. trump anatuchana ila hamna namna. Mimi nasikilizia ya 2019.
 
Wakijua kuwa utaleta positive impact kwenye nchi yao basi asubuhi tu unachukua viza.Ila ukiwa pangu pakavu bahati inakuhusu.
 
Back
Top Bottom