interview ya atomic energy sekretarieti mlikuwa na lengo gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

interview ya atomic energy sekretarieti mlikuwa na lengo gani?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by soledad, Aug 13, 2012.

 1. s

  soledad Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  written interview ya atomic energy commision post ya nuclear scientific research , hivi ninyi watu wa utumishi mlikuwa na lengo la kupima uwezo wa watu wa kufanya kazi au la kuwakwamisha kwasababu mlikuwa na watu wenu tayari? masawli mmetunga ya ajabu na watu wanaofanya usaili ni wa different profession, kuna wa environmental science, geology, physics, chemistry mnatoa mtihani unabase kwa profession moja hao wengine wajibu nn si bora msingewaita? mtu wa environment au geology maswali ya physics ya chuo kikuu very complicated not relevant to the duties mlikuwa na lengo gani? Same job same duties different profession toeni masawali ambayo geologist atajibu, environmental scientist atajibu, nuclear scientist atajibu ,radiologist atajibu mkibase ktk profession moja wengine msiwaite kabisa.
   
 2. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Interview zingine mbovu sana!
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  bora wamewachuja mapema

  hapo wanataka watu wawili tu
   
Loading...